MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KOZI ZA DIPLOMA NA CHETI CHA SHERIA KWA MWAKA WA MASOMO 2018/19

Majina ya wanafunzi wa NTAL.5 (DIPLOMA YA SHERIA)

-Kuona Majina ya waliochaguliwa kujiunga Diploma ya Sheria kwa mwaka wa masomo 2018/2019, Bofya hapa chini

-http://www.ija.ac.tz/uploads/publications/en1539172664-List%20of%20Verified%20Applicants%20for%20Ordinary%20Diploma%20in%20Law%202018%20SEPTEMBER%20INTAKE.pdf

Majina ya wanafunzi wa NTL.4 (CHETI CHA SHERIA)

-Kuona Majina ya waliochaguliwa kujiunga Cheti chaSheria kwa mwaka wa masomo 2018/2019, Bofya hapa chini

-http://www.ija.ac.tz/uploads/publications/en1539172716-List%20of%20Verified%20Applicants%20for%20Basic%20Technician%20Certificate%20in%20Law%202018%20September%20INTAKE.pdf

MAELEZO YA UJUMLA

(i) Wanafunzi wote walioandikiwa “No multiple” wanatakiwa kuripoti chuoni tarehe 13/10/2018 wakiwa na mahitaji yote yanayohitajika ikiwepo malipo ya Ada.

(ii)Wanafunzi wote ambao mbele ya majina yao inatokea namba, mfano 1, 2, 3 au 4 inamaana waliomba vyuo zaidi ya kimoja, hivyo watatakiwa kuthibitisha kujiunga na Chuo cha IJA kwa kujaza fomu (admission confirmation form) inayopatikana kwenye tovuti ya Chuo au unaweza kufungua Fomu hiyo kwa Kubofya hapa chini

http://www.ija.ac.tz/uploads/publications/en1538730135-ADMISSION%20CONFIMATION%20FORM%20%202018-2019%20(Social%20media%20&%20website).pdf

na kisha watatakiwa kuripoti chuoni tarehe 14/10/2018 wakiwa na mahitaji yote yanayohitajika ikiwepo malipo ya Ada. Kuona ada ya mwaka wa masomo 2018/2019 Bofya hapa chini

http://www.ija.ac.tz/uploads/publications/en1532610404-FEE%20STRUCTURE%202018-19.pdf

Kupakua Fomu ya Hospitali (Medical Examination Form) Bofya hapa chini

http://www.ija.ac.tz/uploads/publications/en1539001988-FORM%20A3%20-%20MEDICAL%20EXAMINATION%20FORM.pdf

(iii)Taarifa nyingine kuhusu mahitaji mbalimbali yanapatikana kupitia www.ija.ac.tz.

(iv) Kwa maelezo zaidi wasiliana na Chuo kwa namba: +255 272660133