The Principal

Hon. Justice Paul F. Kihwelo (PhD)

I am delighted to invite students, researchers, academicians and other interested stakeholders to the  Institute of Judicial Administration  Lushoto.

I am confident that the website will cater all required information. You will see and learn what the Institute is about, what does and what  believes. The Institute remains to be a centre of excellence in judicial training, continuing education, and legal studies in Tanzania, Africa and beyond.

Enjoy your visit.

Mhe. Prof. Ibrahim H. Juma akimkabidhi mfano wa ufunguo Mhe. Dkt. Ndika , Jaji wa Mahakama ya Rufani na Mwenyekiti wa Bodi ya Uongizi wa Chuo kwenye ufunguzi wa jengo la bweni la wavulana
Wanawake IJA walivyosherehekea siku ya wanawake
Wanawake IJA walivyosherehekea siku ya wanawake
Chief Justice of Tanzania, Hon. Prof. Ibrahim Hamis Juma (center) in a group photo with the new Judges of the High Court of Tanzania and the High Court of Zanzibar immediately after opening the orientation training on August 30, 2022.
Mhe. Profe. Ibrahim H. Juma akiongozwa na Mhandisi wa Mahakama kuona ujenzi wa bweni la wavulana kwa ajili ya uzinduzi.
Mhe. Prof. Ibrahim H. Juma akimkabidhi mfano wa ufunguo Mhe. Dkt. Ndika , Jaji wa Mahakama ya Rufani na Mwenyekiti wa Bodi ya Uongizi wa Chuo kwenye ufunguzi wa jengo la bweni la wavulana
IJA Environment
IJA Students in Library
IRLI Executive Director Mr. Aonghus Kelly (in the middle) with the Deputy Principal of the IJA Mr. Goodluck Chuwa (right) and Program Coordinator IRLI, Mr. Sean McHale (left) being addressed about IJA during their visit at IJA
Participants of Training on Handling Wildlife Cases Held at Palace Hotel in Arusha on 10th October, 2022
IJA Environment
Wanachuo wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutoka Bungeni walipokuwa kwenye ziara ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Picha ya Baadhi ya Wanachuo wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama wakiwa ndani ya Bunge wakifuatilia mijadala Bungeni walipokuwa kwenye ziara ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wanachuo wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto wakiwa katika picha ya Pamoja na Mbuge wa Jimbo la Lushoto Mhe. Shabani Shekiliindi walipokuwa katika ziara ya kimasomo la kutembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jaji Mkuu wa Tanazania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akiwa katika picha ya pamoja na Majaji washiriki katika Mafunzo Elekezi (waliosimama nyuma)

NEWS AND EVENTS

Collaborations / MoU

IOJT
ESAMI
FAO
MZUMBE
OUT
LST
UNICEF
TLS
JUDICIARY
SAJEI