Tangazo la mafunzo ya Madalali ya Mahakama na Wasambaza nyaraka za Mahakam Septemba 23, 2024.
Tangazo la mafunzo ya Madalali ya Mahakama na Wasambaza nyaraka za Mahakam Septemba 23, 2024.
10 September, 2024
Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto kinatarajia kutoa mafunzo kwa Madalali ya Mahakama na Wasambaza nyaraka za Mahakama
mnamo tarehe 23/09/2024 jijini Dar es Salaam.