Mkuu wa Chuo ambaye pia ni Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Dkt. Paul F. Kihwelo akiwa katika studio za Chuo kwa ajili ya ukaguzi.
Mafunzo
Meneja Mradi wa Upatikanaji wa haki kwa jamii ya Wanawake na watoto (SAFE) hapa Tanzania Bi. Katharina Kuehn akizungumza wakati wa Mafunzo ya Msingi ya Usuluhishi kwa Maafisa wa Mahakama ya Tanzania
Mafunzo
Mafunzo ya Msingi ya Usuluhishi kwa Maafisa wa Mahakama ya Tanzania
Bweni
Bweni la Wanaume la Benjamin Mkapa
Bweni
Bweni la Wanaume la Benjamin Mkapa
Mwanachuo
Mwanachuo akiwa Maktaba akijisomea
Michezo
Timu ya mpira wa miguu ya IJA ikiwa katika mashindano
Michezo
Timu ya mpira wa pete (Netball) ikiwa katika mashindano
Wahitimu
Wahitimu wakiwa katika mahafali
Wanachuo
Wanachuo wakiwa darasani
Chuo Chetu
Ikiwa juu ya Milima ya Usambara katika mji wa kihistoria wa Lushoto ambao awali ulianzishwa na Wajerumani katika miaka ya 1880 na hapo awali ulijulikana kama Wilhelmstal (William's Valley) halafu baadae ukapewa jina la Mfalme Wilhelm II, Chuo cha Uongoi wa Mahakama Lushoto maarufu kwa kifupi kama IJA ni taasisi ya umma iliyoanzishwa mwaka 1999 kwa Sheria ya Bunge, Chuo cha Uongozi wa Mahakama-Lushoto, Sura ya 405 Toleo Lililorekebishwa 2002....
Mr. Roggers N. Cletus is an esteemed alumnus of the Institute of Judicial Administration Lushoto, where he earned his Diploma in Law (DL) in 2010. Currently, he serves as...
Soma Zaidi
Mr. Roggers N. Cletus
Assistant Lecturer at the Institute of Judicial Administration Lushoto
‟
Mr. Peter Memba is an Assistant Lecturer at the Institute of Judicial Administration Lushoto (IJA) and a proud alumnus of the institute. His academic journey began in 201...
Soma Zaidi
Mr. Peter Memba
Assistant Lecturer at the Institute of Judicial Administration Lushoto (IJA)
‟
Hon. Judge Arnold Kirekiano of the High Court of Tanzania began his legal journey in 2002 when he joined the Institute of Judicial Administration Lushoto (IJA) at Diploma...
Soma Zaidi