Ziara Maalumu
Mkuu wa wilaya ya Lushoto Mhe. Zephania Sumaye (katikati) akiwa na Timu ya Kituo cha Msaada wa Kisheria cha Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto ilipofika ofisini kwa Mkuu huyo wa wilaya kwa ajili ya kujadili Mpango kazi wa utoaji wa Elimu na Msaada wakisheria kwa jamii ya Lushoto.